
Rais wa Korea Kusini aondolewa madarakani na Bunge – DW – 14.12.2024
Bunge la Korea Kusini limepiga kura Jumamosi kumuondoa madarakani Rais Yoon Suk Yeol, kutokana na jaribio lake lililoshindwa la kutangaza sheria ya kijeshi iliyodumu kwa muda mfupi. Kati ya wabunge 300, wabunge 204 wamepiga kura ya kumuondoa rais madarakani kwa madai ya uasi, huku 85 wakipiga kura ya kupinga. Watatu hawakupiga kura, huku kura nane…