
Likizo kipindi muhimu cha mapumziko na maendeleo ya msingi kwa watoto
Hiki ni kipindi cha mapumziko kwa wanafunzi wa shule za awali, msingi na sekondari na ndicho kipindi kinachoambatana na sikukuu za Krismasi na Mwaka Mpya. Licha ya kuwa muda wa kupumzika, wazazi wanapaswa kuwahimiza watoto wao kujiandaa kwa mwaka mpya wa masomo utakaoanza Januari, 2025. Kwa baadhi ya familia, likizo hutumika kuwashirikisha watoto kwenye kazi…