
Majeraha kumng’oa Mutale Msimbazi | Mwanaspoti
TOFAUTI na matarajio ya viongozi na hata mashabiki na wapenzi wa Simba wakati anasajiliwa, ukweli ni kwamba Mzambia Joshua Mutale anahesabu siku tangu dirisha dogo la usajili likifunguliwa leo, kutokana na kinachoelezwa majeraha ya mara kwa mara yanaweza kumng’oa Msimbazi. Mutale alisajiliwa kwa mbwembwe katika dirisha kubwa la msimu huu, lakini ameshindwa kufanya maajabu akiwa…