
Serikali yabainisha mikakati ya kurejesha hadhi ya madini ya Tanzanite
Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital MANYARA: Waziri wa Madini, Anthony Mavunde amesema Serikali imejidhatiti kurudisha hadhi ya Tanzanite kwa kufanya minada ndani na nje ya nchi ili kuyaongezea thamani na wafanyabiashara waweze kunufaika na kuongeza pato la taifa kwa ujumla. Waziri Mavunde ameyasema hayo leo Desemba 14, 2024 Mirerani mkoani Manyara wakati akizindua mnada wa…