TADB YAJIVUNIA MRADI WA TANLAPIA

Meneja wa Uzalishaji Kampuni ya Tanlapia Farida Buzohera akilisha Samaki Chakula. Meneja wa Uzalishaji wa Samaki aina ya sato Kampuni ya Tanlapia Bi. Farida Buzohera (aliyeshika maiki) akitoa ufafanuzi wa masuala mbalimbali ya utendaji kwa waandishi wa habari na Wafanyakazi wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) katika ziara ya kukagua utekelezaji wa miradi…

Read More

Pamba yambeba Kamara,wengine wanne | Mwanaspoti

MABOSI wa Pamba Jiji hawatanii, kwani baada ya kumtambulisha wachezaji wapya watatu, Deus Kaseke,  Habib Kyombo na Hamad Majimengi, sasa wanajiandaa kuwaweka hadharani nyota watano wa kigeni akiwamo kipa Mohammed Camara aliyekuwa Singida Black Stars na wengine walianza kutafutiwa vibali. Mbali na Camara ambaye hakuwa anapata namba mbele ya Metacha Mnata wakati akiwa na Singida…

Read More

Serikali kushirikisha vijana kupambana na uhalifu

Dodoma. Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa amesema wizara yake kupitia vyombo vya usalama na taasisi nyingine za Serikali, zitashirikiana na vijana ili kupata suluhu kwa baadhi ya changamoto zilizopo na zinazoendelea kujitokeza katika jamii. Changamoto hizo ni pamoja uhalifu, kupambana rushwa, dawa za kulevya, ukatili na unyanyasaji wa kijinsia. Bashungwa  aliyemwakilisha…

Read More

Waziri Mavunde awatoa hofu  wauza madini kwenye minada

Mirerani. Serikali imewahakikishia wafanyabiashara na wadau wa sekta ya madini nchini, kuwa haina mpango wa kuchukua madini yatakayobaki kwenye minada mbalimbali. Aidha, imesisitiza kuwa dhana potofu kuhusu madini yaliyobaki baada ya mnada wa mwisho uliofanyika mwaka 2017 si ya kweli, kwani madini hayo yamehifadhiwa kwa  salama katika Benki Kuu ya Tanzania (BoT) na yatakabidhiwa kwa…

Read More

Waajiri warudishwa darasani mfuko wa hifadhi ya jamii

Dar es Salaam. Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), umewakumbusha waajiri kutimiza wajibu wao kwa mujibu wa sheria. Umesema wajibu huo ni pamoja na kutoa taarifa za wafanyakazi wasiosajiliwa kwa lengo la kutaka kuona Mfuko unakuwa na uwezo wa kuwasajili na kuwasilisha michango kwa wakati. Hayo yamesemwa leo Jumamosi Desemba 14, 2024 na…

Read More

Uzinduzi wa Madini ya Vito Wafanyika Mji mdogo wa Mererani Wilayani Simanjiro,Mkoani Manyara.

  Na Jane Edward, Manyara Serikali imesema haina mpango wa kuchukua madini ya wafanyabiashara wa madini yatakayobaki kwenye minada itakayokuwa inaendeshwa na kusimamiwa na wizara ya Madini. Akizungumza Mkoani AManyara mji mdogo wa Mererani wakati wa zoezi la uzinduzi wa mnada wa madini ya vito, Waziri wa Madini Anthony Mavunde Mavunde amesema dhana potofu imejengeka…

Read More