
WAZIRI WA AFYA,WATUMISHI WA WIZIRA WAENDELE NA ZIARA YA KUJIFUNZA BIMA YA AFYA KWA WOTE NCHINI UINGEREZA
Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama akiambatana na ujumbe wake kutoka Tanzania akiwemo Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Bw. Ismail Rumatila, Mganga Mkuu wa Serikali Prof. Tumaini Nagu pamoja na wataalam wengine wamekutana na uongozi wa ‘National Health Services’ (NHS) ikiwa ni muendelezo wa ziara ya kujifunza namna bora ya kuimarisha…