ODDS KUBWA na machaguo kibao yapo Meridianbet leo

  Siku nzuri ya kupiga pesani leo ambapo Jumamosi ya leo mechi nyingi ulimwenguni zinachezwa. Hivyo nafasi ya wewe kuondoka Milionea ni rahisi sana na Meridianbet. Kama kawaida ligi pendwa pale Uingereza EPL, leo hii kuna mechi nyingi za kubashiri, Arsenal atakuwa mwenyeji wa Everton ambao wapo nafasi ya 15 kwenye msimamo wa ligi waishinda…

Read More

Madini ya Sh3.1 bilioni kuuzwa kwenye mnada Mirerani

Mirerani. Madini tofauti yenye uzito wa gramu 184.06 na thamani ya Sh3.1 bilioni yanatarajiwa kuuzwa na kununuliwa kwenye mnada wa madini ya vito unaofanyika mji mdogo wa Mirerani, Wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara. Hayo yamebainishwa leo Desemba 14, 2024 na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Madini, Msafiri Mbibo, wakati wa uzinduzi wa mnada huo…

Read More

WAZIRI MKUU ATEMBELEA KIWANDA CHA DAWA CHA CURE AFYA

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akipewa maelezo na Mthibiti Ubora wa Kiwanda cha Uzalishaji dawa za Binadamu cha CURE AFYA, Kareem Mruthu, alipotembelea kiwanda hicho kilichopo Kimbiji, Wilaya ya Kigamboni Jijini Dar es Salaam, Desemba 14, 2024. Kushoto ni Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu Kassim Majaliwa…

Read More

TRA Iringa yawashukuru walipa kodi wake

Mamlaka ya Mapato Tanzania Tra Mkoa wa Iringa Imeendelea kudumisha mahusiano Mazuri na kuwashukuru wafanyabiashara wake Mkoani hapa kwa kuendelea kutimiza wajibu wake wa kulipa Kodi kwa wakati Hii ni mara baada ya Meneja wa Mamlaka ya mapato Tanzania Tra Mkoa wa Iringa Bw. Peter Jackson akiwa pia ameambatana na meneja msaidizi Bw. Gwamaka Pholld…

Read More

WASANII WAPAMBA TAMASHA LA BIBI TITI, DKT. ABBASI ASHIRIKI

Na John Mapepele WASANII wa Tanzania wamepamba ufunguzi wa msimu wa nne wa Tamasha la Bibi Titi Mohamed usiku wa kuamkia leo huku Katibu Mkuu wa Maliasili na Utalii Dkt Hassi Abbasi akihudhuria. Awali, Serikali ilisisitiza kufungamanisha matamasha mbalimbali ya utamaduni na Utalii ili kuongeza mapato hatokanayo Utalii. Miongoni mwa wasanii waliowapagawisha wakazi wa viunga…

Read More

Ugonjwa wa migomba wawaliza wakulima wa ndizi Moshi

Moshi. Ugonjwa wa fungashada wa migomba umeleta kilio kipya kwa wananchi wanaolima na kutegemea kilimo cha ndizi, kwa ajili ya chakula na biashara katika Wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro. Ugonjwa huo unaosababishwa na kirusi aina ya ‘Fungashada’ kwa kitaalamu unajulikana kama ‘Banana Bunchy top Disease’, huenezwa na vidukari wa migomba wanaopatikana eneo la shingo ya…

Read More