Vodacom Tanzania Kuboresha Huduma kwa Kuunganisha My Vodacom App na M-Pesa Supa App

  Vodacom Tanzania inayo furaha kutangaza kuunganishwa kwa My Vodacom App na M-Pesa Supa App, hatua inayolenga kurahisisha na kuboresha zaidi huduma kwa wateja. Kupitia muunganiko huu, wateja wataweza kufurahia huduma zote wanazozipenda za Vodacom kwenye aplikesheni moja, hivyo kuongeza ufanisi na urahisi wa matumizi. Kama sehemu ya mabadiliko haya, My Vodacom App itasitishwa rasmi…

Read More

Mdahalo Uenyekiti  Tume ya Umoja wa Afrika moto

Addis Ababa. Kinyang’anyiro cha uenyekiti wa Tume ya Umoja wa Afrika (AUC) kilifikia kilele Ijumaa wakati Waziri Mkuu wa zamani wa Kenya, Raila Odinga alipopanda jukwaani kwenye mdahalo kujadili maono yake kwa bara hilo pamoja na wagombea wengine wawili. Katika mdahalo huo uliopewa jina la “Mjadala Afrika”, Odinga alikabiliana na Waziri wa Mambo ya Nje…

Read More

'Hatutaingia Kimya Bahari inayoinuka,' Tuvalu aambia Mahakama ya Kimataifa ya Haki – Masuala ya Ulimwenguni

Maji hufurika, kuonyesha jinsi asili na watu wako hatarini. Miti haiwezi kukua kwa sababu ya chumvi, bila kuacha ulinzi. Picha hii inaonya kuhusu athari za mabadiliko ya hali ya hewa kwenye visiwa na visiwa vyetu. Ni ishara wazi tunahitaji kuchukua hatua ili kuweka ulimwengu wetu salama. Credit: Gitty Keziah Yee/Tuvalu na Tanka Dhakal (hague) Ijumaa,…

Read More

STAMICO Yasaini Mkataba na Ushirika wa Maisha Gemu Zanzibar kwa Usambazaji wa Nishati Safi ya Rafiki Briquettes

Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) limesaini mkataba na Ushirika wa Maisha Gemu ya Zanzibar ili kuwa wakala wa nishati safi na salama ya Rafiki Briquette visiwani humo. Halfa hiyo ilfanyika katika ofisi za STAMICO zilizopo Dar es Salaam leo tarehe 13 Disemba,2024. jijini Dar es Salaam Kaimu Mkurugenzi Mtendaji Bw. Deusdedith Magala amesema, mkataba…

Read More