
Mkesha kwa Mwamposa adha tupu, waumini, walia usafiri
Dar es Salaam. Maelfu ya wananchi waliohuduria mkesha wa Kanisa la Arise and Shine linaloongozwa na Nabii Boniface Mwamposa, wamekwama kupata usafiri baada ya kumalizika kwa mkesha huo katika uwanja wa Tanganyika Packers Kawe jijini hapa. Mkesha huo ulioanza majira ya saa moja jioni ukihudhuriwa na maelfu ya wakazi wa Dar es Salaam, mikoni na…