Nchi za Visiwa Vidogo Zinaweka Imani katika Mahakama za Kimataifa Maoni ya Ushauri ya Utafutaji Njia – Masuala ya Ulimwenguni

Maandamano ya haki ya hali ya hewa. Wanawake mia mbili na 200 walikusanyika kwenye Mlima Yasur, volkano hai kwenye kisiwa cha Tanna huko Vanuatu. Credit: Greenpeace & Ben Bohane na Umar Manzoor Shah (hague) Ijumaa, Desemba 13, 2024 Inter Press Service THE HAGUE, Desemba 13 (IPS) – Mikutano kuhusu wajibu wa kisheria wa mataifa katika…

Read More

Simba kuna jambo, Fadlu achora ramani mpya

KIKOSI cha Simba kinaendelea kujifua kujiandaa kuikabili CS Sfaxien katika mechi ya tatu ya Kombe la Shirikisho itakayopigwa kesho Jumapili, lakini habari njema kwa Wanamsimbazi ni kitendo cha kocha Fadlu David kuchora ramani mpya ya mabao kabla ya kukabili watunisia hao. Simba itakuwa wenyeji wa mechi hiyo ya Kundi A, ikiwa imevuna pointi tatu katika…

Read More

Yanga, Tshabalala kuna kitu! | Mwanaspoti

BAADA ya kumvuta kikosini beki wa zamani wa Simba aliyekuwa akiitumikia Singida Black Stars, Israel Mwenda, mabosi wa Yanga ni kama inafanya komoa sasa, baada ya kudaiwa imeanza kunyemelea beki mwingine kutoka Simba ili kuzidi kuimarisha ukuta wa timu hiyo. Watetezi hao wa Ligi Kuu Bara na wawakilishi wa Tanzania katika michuano ya Ligi ya…

Read More

Wanawake wa Afghanistan Waapa Kupinga Ukandamizaji wa Taliban Hadi Uhuru Upatikane – Masuala ya Ulimwenguni

Ingawa wamenyamazishwa hadharani, wanawake wa Afghanistan wanaendelea na upinzani wao kwa siri. Credit: Learning Together Ijumaa, Desemba 13, 2024 Inter Press Service Des 13 (IPS) – Mwandishi ni mwandishi wa habari wa kike mwenye makazi yake Afghanistan, aliyepata mafunzo kwa usaidizi wa Kifini kabla ya Taliban kuchukua hatamu. Utambulisho wake umezuiliwa kwa sababu za kiusalama…

Read More

Watoto wanne wafa maji wakijaribu kuokoana

Mwanza. Watoto wanne wamefariki dunia katika Kijiji cha Isengwa, Wilaya ya Itilima mkoani Simiyu wakijaribu kuokoana kwenye dimbwi la maji, baada ya mwenzao kuteleza na kutumbukia wakati wakichota maji ya kufua nguo. Akizungumza kwenye eneo la tukio leo Desemba 13, 2024, Kaimu Kamanda wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji mkoani Simiyu, Faustin Mtitu amesema watoto…

Read More

Siri maambukizi ya VVU Kigoma kupungua

Kigoma. Maambukizi ya Virusi vya Ukimwi (VVU) mkoani Kigoma yanatajwa kupungua kutoka asilimia 3.4 mwaka 2013 hadi 1.7 mwaka 2023 sawa na upungufu wa asilimia 50. Takwimu hizo zimetolewa leo Ijumaa Desemba 13, 2024 na Mkurugenzi wa Huduma za Tiba na Matunzo wa Tanzania Health Promotion Support (THPS) kupitia mradi wa ‘Afya Hatua’, Dk Frederick…

Read More

DKT.JAFO ASHIRIKI KIKAO CHA MAWAZIRI CHA KISEKTA NCHINI ETHIOPIA

  WAZIRI  wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Selemani Saidi Jafo,leo Disemba 12,2024 ameshiriki kikao cha Mawaziri cha kisekta chenye lengo la kuimarisha masuala ya kiuchumi kilichofanyika  Jijini Addis Ababa, Ethiopia. Katika Mkutano huo masuala mbalimbali ya kisera yamejadiliwa ili kuimarisha uchumi kupitia Biashara, Madini ya mkakati, na Utalii.   Dkt.Jafo akiwa na  Naibu Waziri wa Madini…

Read More