
Mchekeshaji Eliud atua na helkopta Arusha,Watanzania watakiwa kwenda hifadhini
TANAPA imezindua Kampeni ya Shangwe la Sikukuu na TANAPA Arusha lengo likiwa ni kuhamasisha watanzania na wasio watanzania kutembelea Hifadhi za Taifa kipindi hiki cha msimu wa sikukuu za Krismasi na Mwaka Mpya 2025. Akizingumza na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi huo, Kamishna Msaidizi wa Uhifadhi Jully Bede Lyimo anayeshughulia Maendeleo ya Biashara TANAPA…