
TAMASHA LA BIBI TITI LINAFANYA KAZI NZURI YA KUENZI KAZI ZA SERIKALI- MHE. MONGELLA
Na John Jayros Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Mhe. John Mongella amesema Tamasha la Bibi Titi Mohamed siyo tu Tamasha linalotumika kumuenzi hayati bibi Titi bali ni Tamasha linalotumika kuenzi kazi kubwa inayofanywa na Serikali ya CCM inayoongozwa na Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan. Mhe. Mongella ameyasema haya leo Desemba…