
RAIS DKT. SAMIA FANYAUTEUZI, AMPANGIA KITUO CHA KAZI MMOJA
Zanzibar 13 Disemba, 2024 RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi na kumpangia Balozi kituo cha kazi. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka, uteuzi huo ni:- Bw. Majaba Shabani Magana ameteuliwa kuwa Kamishna wa Kitengo cha Kudhibiti Fedha Haramu (FIU) akichukua…