
Mzee wa msikiti afariki dunia kwa kushambuliwa na nyuki
Karagwe. Mzee mmoja mkazi wa Omurushaka Wilaya ya Karagwe mkoani Kagera, Haruna Gabery (75) amefariki dunia baada ya kushambuliwa na nyuki akiwa msikitini akifanya maandalizi ya swala ya jioni. Gabery anadaiwa kufariki dunia akiwa msikiti wakati akijaribu kujiokoa baada ya kuvamiwa na nyuki waliyokuwa wametapakaa mtaa mzima kumzidi uwezo hadi kuingia puani na mdomoni, hatimaye…