
Mpox yaendelea kuenea nchini Kenya – DW – 13.12.2024
Miji yenye shughuli nyingi za usafiri hasa za kutoka nje ya nchi inaripotiwa kuathiriwa zaidi nchini huku Wakenya wengi wakikosa taarifa muhimu kuhusu ugonjwa huo. Wizara ya afya ya Kenya imethibitisha wagonjwa wapya waliokutwa na ugonjwa wa mpox, hatua ambayo inafikisha jumla ya wagonjwa waliothibitishwa kupata ugonjwa huo kuwakatika kaunti 12 nchini kote. Katika taarifa…