
JKCI yatangaza huduma kupima Moyo bure kwa Wasanii wa Filamu Tanzania.
Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete JKCI iloyoko Hospitali ya Taifa ya Muhimbili imetangaza huduma ya Kupima Moyo bure kwa Wasanii wa Filamu Tanzania. Akizungumza Dokta Peter Kisenge kuwa wametoa huduma hiyo kwaajili ya kuokoa Wasanii wengi wanaopata maradhi ya Moyo na kukosa Matibabu. Aidha Mwenyekiti wa taasisi ya mama ongea na mwanao Steve Nyerere…