
Urusi yashambulia miundombinu ya nishati ya Ukraine – DW – 13.12.2024
Urusi imefanya mashambulizi makubwa kwenye vituo vya nishati vya Ukraine, Hayo yamesemwa na Waziri wa Nishati wa Ukraine Galushchenko. Mashambulizi hayo yanafanyika wakati Ukraine ikiendelea kutoa mwito kwa washirika wake wa kupatiwa mifumo zaidi ya ulinzi wa anga. Akitumia mtandao wa Facebook, Waziri wa Nishati wa Ukraine, Galushchenkoamesema kwa mara nyingine adui yao…