UDSM yashiriki warsha ya STEM (Sayansi, Teknolojia, Uhandisi, na Hisabati)na kufanya ziara ya kiwanda cha umeme

Wanafunzi wa Chuo Kikuu Cha Dar Es Salaam, wameshiriki warsha ya STEM (Sayansi, Teknolojia, Uhandisi, na Hisabati) ya kukuza taaluma na kufanya ziara ya kiwanda cha umeme iliyoratibiwa na GE Vernova kwa kushirikiana na Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Tukio hili lilifanyika katika mazingira ya Chuo Kikuu cha…

Read More

Geita Gold inataka watano tu

SAFARI ya Geita Gold kurudi Ligi Kuu inazidi kupamba moto, huku uongozi wa klabu hiyo ukitamba unataka kutumia dirisha dogo kushusha wachezaji watano wa maana kuongeza nguvu kikosini ili kutimiza malengo ya kumaliza bingwa wa Ligi ya Championship na kupanda daraja. Timu hiyo iliyoshuka msimu uliopita, inashika nafasi ya pili katika Ligi ya  Championship nyuma…

Read More

Kagera yaanza na winga teleza

KLABU ya Kagera Sugar iko katika hatua za mwisho za kukamilisha uhamisho wa winga wa Singida Black Stars, Edmund John kwa mkopo wa miezi sita, baada ya nyota huyo kupitia changamoto ya kukosa nafasi ya kucheza ndani ya kikosi cha kwanza. Nyota huyo aliyejiunga na Singida msimu huu akitokea Geita Gold iliyoshuka daraja, msimu huu…

Read More

Wafugaji wa Kizimkazi watembelea mashamba ya Asas Iringa

Katika juhudi za kuimarisha sekta ya ufugaji na kuboresha ustawi wa jamii, Kampuni ya Asas imetekeleza ahadi yake iliyotolewa wakati wa Sherehe za Kizimkazi Festival kwa kuandaa ziara ya wafugaji kutoka Kizimkazi kwenda kwenye mashamba yake yaliyopo Iringa. Itakumbukwa Mnamo Agosti 8, 2024 kampuni ya Asas iliahidi kuwapa wafugaji wa Kizimkazi fursa ya kujifunza mbinu…

Read More

Nchimbi, wenzake waikacha Biashara United

MIEZI michache baada ya aliyekuwa mfadhili na Rais wa Biashara United, Revocatus Rugumira kujiweka kando na kuirejesha timu hiyo kwa wananchi mambo yameanza kuwa magumu ikishindwa kujiendesha na kusababisha baadhi ya wachezaji kuondoka. Mwanaspoti lilidokezwa mapema kwamba wachezaji walitimka ndani ya klabu hiyo kwa sasa ni; Ditram Nchimbi, Sadalla Lipangile, Fredson Elisha na Faustine Kulwa…

Read More

TADB yatia saini Mkataba wa Makubaliano (MoU) na mchongotv

Katika hatua ya kihistoria kwa sekta ya kilimo nchini Tanzania,Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania @tadbtz imeingia Mkatabawa Makubaliano (MoU) wa Miaka Mitano (5) na MchongoTelevisheni, kituo cha kwanza na pekee kinachojikita kwenyekutoa Habari za Kilimo,Uvuvi na Mifugo katika Ukanda wa AfrikaMashariki na Kati, ambapo kituo hicho kimewashwa rasmi kwamara ya kwanza kupitia kisimbuzi cha…

Read More

Baraza la Usalama – Masuala ya Ulimwenguni

Akitoa maelezo kwa mabalozi nchini Baraza la UsalamaRoza Otunbayeva, Mwakilishi Maalum wa Katibu Mkuu wa Afghanistan, alitoa picha mbaya ya kuongezeka kwa ukiukwaji wa haki za binadamu, kupungua kwa uhuru na kuongezeka kwa changamoto za kibinadamu. “Sasa inakaribia takriban siku 1,200 bila wasichana kupata elimu rasmi zaidi ya darasa la sitahuku wanawake na wasichana wakikabiliwa…

Read More

Asas yatekeleza ahadi ya kuelimisha wafugaji wa Kizimkazi

Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital Kampuni ya Asas imeonyesha dhamira yake ya kuendeleza sekta ya ufugaji na kuboresha maisha ya jamii kwa kutekeleza ahadi iliyotolewa wakati wa Sherehe za Kizimkazi Festival kwa kuandaa ziara ya mafunzo kwa wafugaji kutoka Kizimkazi hadi mashamba yake ya kisasa yaliyopo mkoani Iringa. Ahadi hiyo, iliyotolewa Agosti 8, mwaka huu,…

Read More