
Rais wa zamani wa Marekani Jimmy Carter afariki – DW – 30.12.2024
Taasisi yake ya Kituo cha Carter imesema rais huyo wa zamani alifariki akiwa nyumbani kwake mjini Plains, akiwa amezungukwa na familia yake. “Baba yangu alikuwa shujaa, sio kwangu tu lakini kwa kila mmoja anayeamini katika amani, haki za binaadamu, na upendo usio na ubinafsi,” amesema mwanawe wa kiume, Chip Carter. “Ulimwengu ni familia yetu kwa sababu…