Wanandoa wafa, ajali iliyoua walimu wanne Nyasa

Songea. Wanandoa wawili ni miongoni mwa watu sita waliofariki dunia katika ajali ya gari iliyotokea wilayani Mbinga Mkoa wa Ruvuma. Ajali hiyo ilitokea jana saa 1:10 asubuhi, baada ya gari walilokuwa wakisafiria kuanguka katika mteremko wa Chunya wilayani humo. Wanandoa hao waliofariki dunia ni Michael Mkinga, aliyekuwa dereva na mke ni Judith Nyoni ambaye ni…

Read More

Baresi: Wakitua hawa tu, mmekwisha

MASHUJAA jana ilipoteza kwa mabao 3-1 mbele ya Dodoma Jiji ikiwa ni kipigo cha tano kwa timu hiyo katika mechi 16 za Ligi Kuu Bara ilizocheza hadi sasa, lakini kocha wa timu hiyo amesema wanaenda mapumziko kujipanga upya na kubwa anachofanya ni kuongeza mashine chache kikosini ili mambo yawe matamu zaidi.

Read More

Ludewa wapata ‘ambulance’ pikipiki kuboresha afya

Njombe. Wananchi wilayani Ludewa mkoani hapa wameishukuru Serikali kwa kuendelea kuboreshea huduma bora za matibabu na kunusuru maisha yao, baada ya kukabidhiwa vyombo vya usafiri ikiwemo pikipiki mbili na gari moja la kubebea wagonjwa. Wakizungumza wakati wa makabidhiano hayo leo Desemba 29, 2024 wananchi hao wamesema msaada huo utawaondolea changamoto kubwa iliyowakabili wanawake wajawazito na…

Read More

Roho ya ustahimilivu inakabili upepo wa kuenea kwa jangwa nchini Saudi Arabia – Masuala ya Ulimwenguni

Majangwa ya Saudi Arabia ni miongoni mwa majangwa makubwa zaidi duniani na kudhibiti uhamaji wa asili wa mchanga daima imekuwa changamoto sio tu kwa wakulima, ambao wanataka kuongeza tija ya kilimo, lakini pia kwa jamii zinazotaka kuhakikisha mustakabali mzuri zaidi au kutafuta. uwekezaji kwa ukuaji. Oasis ya Al Ahsa katika mkoa wa mashariki wa jimbo…

Read More

Adhabu zaipa bodi ya ligi Sh10.5 milioni

Adhabu mbalimbali zilizotolewa na kamati ya uendeshaji na usimamizi ya bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB)  kuvuna Sh10.5 milioni. Adhabu hizo zimetokana na makosa mbalimbali yaliyofanywa na timu, wachezaji, viongozi na maofisa wa timu za Ligi Kuu, Ligi ya Championship na First League. Kiasi kikubwa cha fedha kimetozwa kwa Biashara United ya Mara ambayo imetakiwa…

Read More

Lipumba: Rais Samia ajisahihishe Uchaguzi Mkuu 2025

Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba amesema uchaguzi mkuu mwakani ni nafasi nzuri kwa Rais Samia Suluhu Hassan kusahihisha makosa ya uchaguzi wa serikali za mitaa uliofanyika mwaka huu. Kwa mujibu wa mwanasiasa huyo, kinyume na kusahihisha makosa hayo, kuna hatari ya kutokea madhira kama inavyoshuhudiwa katika mataifa mengine…

Read More

Bado tatu tu, Matampi anaswe

KIPA namba moja wa Simba, Moussa Camara ‘Spider’, ameendelea kung’ara katika Ligi Kuu Bara, kwa sasa akisaliwa na clean sheet tatu tu aifikie rekodi iliyowekwa msimu uliopita na kipa aliyekuwa Coastal Union, Ley Matampi aliyeachana na klabu hiyo hivi karibuni. Matampi aliyetwaa tuzo ya Kipa Bora wa msimu akimzidi ujanja aliyekuwa mtetezi wa tuzo hiyo…

Read More

Wimbi la udukuzi mtandao wa  WhatsApp

Dar/Moshi. Wimbi la udukuaji wa akaunti za WhatsApp limeanza kutikisa nchini huku watumiaji wa mtandao huo wakilalamika kutapeliwa baada ya kutoa ‘code number’ kwa wadukuaji hao. Uchunguzi umebaini wengi walioingia katika mtego huo, walipigiwa simu na namba za simu kutoka Nigeria na wapigaji ambao huongea Kiingereza waliomba namba (code number) zilizotumwa na WhatsApp kwenye simu…

Read More