RAIS WA ZANZIBAR AZUNGUMZA NA UJUMBE WA MADAKTARI BINGWA KUTOKA HOSPITALI YA MIOT YA INDIA IKULU ZANZIBAR

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Madaktari Bingwa kutoka Hospital ya MIOT Nchini India ukiongozwa na Mkurugenzi Mkuu Dr.Prithivi Mohandas (kulia kwa Rais) mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 11-12-2024 na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Afya Zanzibar Mhe.Nassor Ahmed Mazrui…

Read More

Sukuk, dhamana za kisheria mbadala wa hati fungani

Sukuk, inayojulikana pia kama hati fungani za Kiislamu, imekuwa mbadala maarufu wa uwekezaji katika masoko ya hisa na mitaji duniani. Uwekezaji huo unasimamiwa kwa mujibu wa Shariah, ambayo ni kanuni za kifedha za Kiislamu, na inatoa fursa ya kuwekeza katika miradi mbalimbali kwa kufuata misingi ya kuepuka riba na miamala isiyokubalika kisharia. Tofauti na hati…

Read More

Simba yafufua kesi ya Lawi

BAADA ya tetesi kuibuka kuwa beki wa kati wa Coastal Union, Lameck Lawi anatajwa kujiandaa kutua Yanga, mabosi wa Simba wameamua kuifufua upya kesi dhidi ya mchezaji huyo katika ofisi za Shirikisho la Soka Tanzania (TFF). Kama mnakumbuka, Lawi alikuwa mchezaji wa kwanza kutambulishwa na Simba dirisha lililopita kabla ya Coastal kuibuka na kudai biashara…

Read More

Kuimarika kwa Shilingi kuna maana gani kwako?

Ni habari njema kwa wengi, hususan wafanyabiashara na watumiaji wa bidhaa zinazotoka nje ya nchi. Ni nafuu pia kwa Serikali kuhudumia madeni yake na kulipa watoa huduma ambao mikataba yao imefungwa kwa sarafu ya kigeni. Habari hiyo njema inatokana na kuimarika kwa Shilingi dhidi ya sarafu za kigeni, kwani sasa viwango vya kubadilishia fedha vimeimarika…

Read More

Dk Mpango ataka Shirika la Watumishi Investment kujenga nyumba za viwango

Dodoma. Makamu wa Rais, Dk Philip Mpango amelitaka Shirika la Watumishi Housing Investiment (WHI) kuhakikisha nyumba zinazojengwa zinazingatia ubora na viwango stahiki ili kuendana na thamani ya fedha na hivyo kuwaepushia wanunuzi  gharama za marekebisho na maboresho. Mbali na hilo, Dk Mpango ameonya watumishi wenye uwezo kutowatumia wale wa kawaida katika kupata nyumba hizo. Dk…

Read More

Manula afichua siri nzito Simba akimtaja Camara

NI suala la kawaida kwa binadamu yeyote aliye hai maisha yake kuwa na hali ya kupanda na kushuka, inaweza kukutokea kazini, masomoni, kwenye uhusiano au sehemu nyinginezo. Sio rahisi sana kupitia kipindi kigumu kwenye maisha halafu ukarudi katika hali ya mwanzo, kwa sababu kwenye hii muda hautusubiri ila unapopata changamoto lazima mbadala wako upatikane haraka…

Read More