Scholz ahimiza kampuni kuwekeza zaidi nchini Ukraine – DW – 11.12.2024
Scholz ameongeza kuwa Rais wa Urusi Vladimir Putin hajatimiza hata lengo moja la nchi yake katika vita vinavyoendelea kati ya Ukraine na Urusi. Katika hotuba aliyoitoa kwenye kongamano la kibiashara kati ya Ujerumani na Ukraine lililofanyika mji mkuu wa Ujerumani Berlin, Scholz amesema uwekezaji nchini Ukraine leo na katika miaka ijayo ni sawa na kuwekeza…