Wadau wa elimu Watakiwa kushirikiana kuunga mkono serikali
Wadau wa elimu wakiwemo Camfed wametakiwa kuendelea kushirikiana na wadau wengine na serikali katika programu zake zenye lengo la kusaidia watoto hasa wakike kwenye suala la elimu kwa kuongeza kasi na uwekezaji wa sera mpya iliyoboreshwa. Hayo yamesemwa na Ernest Hinju Mkurugenzi msaidizi elimu ya watu wazima na elimu maalumu kwenye mkutano mkuu wa mwaka…