Dk Mwinyi aonya watakaofuja mali za umma, akizindua rasimu ya Dira 2050

Unguja. Wakati Watanzania milioni 1.1 wakishiriki kutoa maoni kuhusu Dira ya Maendeleo ya Taifa 2050, Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi amesema wakati wa utekelezaji wake watatoa adhabu kali kwa watakaojaribu kufuja mali za umma. Wengine watakaokumbana na kibano hicho ni watakaotoa huduma zisizoridhisha kwa wananchi, kusimamia vibaya fedha za walipakodi na kushindwa kufikia malengo….

Read More

RAIS MWINYI AZINDUA RASIMU YA DIRA YA 2050.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema malengo makuu ya Rasimu ya Dira ya Maendeleo ya Taifa ni kugusa moja kwa moja katika kuboresha maisha ya watu, elimu, afya, ustawi wa amani na haki pamoja na kuwa na Dira jumuishi ambayo itamshirikisha kila mwananchi kutoa mchango wake kwa…

Read More

Dar Kings yaipasua Arusha Ligi ya TCA

KOMBAINI ya Dar Kings imeanza kwa kishindo Ligi ya TCA U-17 kwa kuisambaratisha Arusha Kings kwa mikimbio 162 katika viwanja vya UDSM, jijini Dar es Salaam. Kwa mujibu wa Msemaji wa Chama cha Kriket nchini (TCA) waandaaji wa ligi hiyo, Ateef Salim, michuano hiyo ambayo inafanyika pia katika viwanja vya Leaders Club, inashirikisha timu za…

Read More

Waitwa kuanzisha utalii wa utamaduni Kinapa

Moshi. Wananchi wanaoishi maeneo yanayozunguka Hifadhi ya Taifa ya Kilimanjaro (Kinapa), wametakiwa kuanzisha utalii wa kiutamaduni ili kuvutia wageni wanaopanda Mlima Kilimanjaro na kukuza kipato chao. Wito huo umetolewa leo Jumatano Desemba 11, 2024 na Naibu Katibu Mkuu wa Maliasili na Utalii, Nkoba Mabula wakati wa mapokezi ya wapanda mlima 300 waliopanda Mlima Kilimanjaro kupitia…

Read More

Kauli za makada Chadema uenyekiti wa Mbowe, Lissu kutoa msimamo

Dar es Salaam. Baada ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe kuvunja ukimya kuhusu msimamo wake wa kugombea au kutogombea nafasi hiyo, makada wa chama hicho wametoa mitazamo tofauti. Wapo wanaosema kauli ya Mbowe ni sahihi kwamba hakuna mwanachama wa Chadema anayezuiwa kuwania nafasi hiyo, huku wengine wakitaka usubiriwe wakati wa…

Read More

Kauli za makada Chadema, Lissu kuweka mambo hadharani

Dar es Salaam. Baada ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe kuvunja ukimya kuhusu msimamo wake wa kugombea au kutogombea nafasi hiyo, makada wa chama hicho wametoa mitazamo tofauti. Wapo wanaosema kauli ya Mbowe ni sahihi kwamba hakuna mwanachama wa Chadema anayezuiwa kuwania nafasi hiyo, huku wengine wakitaka usubiriwe wakati wa…

Read More

Kesi ya mauaji ya Asimwe yapigwa kalenda

Bukoba. Kesi ya mauaji ya mtoto mwenye ualbino, Asimwe Novath iliyokuwa isikilizwe leo Desemba 11 imesogezwa hadi Februari 17, 2025 baada ya Mahakama kukosa majibu ya vipimo vya mshtakiwa namba moja, Padri Elipidius Rwegoshora. Padre Rwegoshora alipelekwa Gereza Kuu la Isanga mkoani Dodoma kupimwa afya ya akili tangu Oktoba 25, 2024. Kesi hiyo namba 15513/2024…

Read More