Mapokezi ya Bashungwa Wizara ya Mambo ya Ndani – Zanzibar
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent L. Bashungwa (Mb) amewasili na kupokelewa katika Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi mara baada ya kuapishwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo tarehe 10 Disemba, 2024. Mapokezi hayo yamefanyika katika Ofisi za Idara ya Uhamiaji Zanzibar na kuongozwa…