Wanawake wametoa maoni kiasi kikubwa – Saada Mkuya

  WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais- Fedha na Mipango Zanzibar Dk. Saada Mkuya Salum amesema idadi kubwa ya wanawake wa visiwani Zanzibar walijitokeza kutoa maoni ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 ikilinganishwa na makundi mengine. Anaripoti Mwandishi Wetu, Zanzibar … (endelea). Dk. Mkuya ameeleza hayo mbele ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa…

Read More

AKU,ADEM WANAVYOIMARISHA UONGOZI KATIKA SEKTA ELIMU

Na Mwandishi Wetu. WADAU wa elimu nchini wameelezwa kuwa Tanzania  inahitaji viongozi waliobobea, wasimamizi na maofisa wa kuthibiti ubora wa shule ili kuhakikisha matumizi sahihi ya rasilimali chache zilizopo na utoaji wa elimu bora kama inavyotarajiwa. Yanaelezwa hayo katika wakati ambapo sekta ya elimu nchini inakabiliwa na mageuzi makubwa, ikiwemo kuanza kutumika kwa mtalaa mpya,…

Read More

TANESCO tunathamini wadau wa maendeleo – Mha. Nyamo-Hanga

Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), Mha. Gissima Nyamo-Hanga amesema kuwa TANESCO inathamini michango inayotolewa na wadau wa maendeleo katika kuimarisha sekta ya nishati nchini. Mha. Nyamo-Hanga ameyasema hayo Mombasa nchini Kenya wakati akitoa wasilisho kuhusu Sekta ya Umeme Tanzania katika mkutano uliowakutanisha nchi Wanachama wa Mashariki mwa Afirka (EAPP) na wadau mbalimbali…

Read More

Ligi Kuu Bara namba zinaongea

LIGI Kuu Bara inatarajiwa kuendelea leo Jumatano kwa kuchezwa mechi mbili ikiwa ni raundi ya 14 tukielekea kuugawa msimu. Baada ya kumalizika kwa raundi hii, tunabakiwa na moja ambayo imekuwa na ushindani mkubwa sana. Hadi sasa, rekodi zinaonyesha hakuna hat trick iliyopatikana, hiyo inadhihirisha wazi hivi sasa suala la mchezaji kufunga inabidi afanye kazi ya…

Read More

Israel Mwenda kutua Yanga lilikuwa suala la muda tu

ZIKIWA zimesalia siku nne kabla ya dirisha dogo la usajili kufunguliwa Desemba 15 mwaka huu, Yanga imemtambulisha beki wa kulia, Israel Mwenda kuwa usajili wao wa kwanza. Mwenda mwenye uwezo pia wa kucheza beki wa kushoto na winga, anatua Yanga kwa mkopo hadi mwisho wa msimu huu akitokea Singida Black Stars ambayo alijiunga nayo dirisha…

Read More

Kampeni ya msaada wa kisheria yazinduliwa rasmi Iringa

Uzinduzi wa Kampeni ya kitaifa ya msaada wa kisheria kwa wananchi ya Mama Samia Legal Aid umefanyika rasmi Mkoani Iringa katika uwanja wa Mwembetogwa uliopo Manispaa ya Iringa ambapo wananchi wameaswa kujitokeza kupata huduma za kisheria katika masuala yanayowasumbua. Mgeni rasmi katika shughuli hiyo Mstahiki Meya wa Manispaa ya Iringa Ibrahim Ngwada akimuwakilisha Mkuu wa…

Read More