KONA YA FYATU MFYATUZI: Tutateka, kutekwa na kutekana mpaka lini?

Japo kadhia hii inaonekana kuzoeleka kama siyo kukubalika, fyatu sikubaliani na jinai hii. Siku hizi, katika kaya yetu, utekaji umegeuka dili. Unaweza kutekwa, kuteka, hata kujiteka. Hamkusikia ndata wakisema kuna mafyatu walijiteka wakadai walitekwa? Msinikumbushe kisa cha fyatu aliyelala kwa mchepuko akarejea home akamwambia bi mkubwa kuwa alikuwa amemezwa na fish. Tuache utani. Kaya yetu…

Read More

Katiba ya Zanzibar inavyokinzana na ya JMT

Kimataifa, Tanzania ni nchi moja inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye ni mkuu wa nchi, mkuu wa Serikali na Amiri Jeshi Mkuu. Lakini kitaifa, Tanzania ni nchi moja yenye Katiba mbili, Katiba ya Jamhuri ya Muungano Tanzania na Katiba ya Zanzibar, yenye marais wawili, Rais wa JMT na Rais wa Zanzibar,…

Read More

Umoja wa Ulaya kuongeza masoko bidhaa za Tanzania

Na Nora Damian, Mtanzania Digital Tanzania na Umoja wa Ulaya zimekubaliana kuongeza upatikanaji wa masoko ya umoja huo kwa bidhaa za Tanzania na kuvutia uwekezaji zaidi katika sekta za kimkakati kama vile nishati jadidifu, viwanda na maendeleo ya miundombinu. Makubaliano hayo yamefikiwa baada ya majadiliano ya pamoja ambayo yamefanyika kwa mujibu wa Mkataba wa Samoa…

Read More

NIKWAMBIE MAMA: ‘Yaliyopita si ndwele’ hadi lini?

Hatimaye tumeuvuka uchaguzi wa serikali za mitaa kwa mbinde kwelikweli. Wagombea wa vyama vya pande zote wamebaki kama waliotumia mbinu za kitaalamu kupunguza miili na uzito, kumbe wapi! Wamekondeshwa na hekaheka za kuumiza vichwa na misuli zilizodumu chini ya mwezi mmoja tu. Ilikuwa ni pepo na jehanamu kulingana na tofauti ya wagombea; wengine waliona utamu…

Read More

Siri kuangushwa kwa utawala wa Rais Assad Syria

Ni tukio la kihistoria kwa wananchi wa Syria kushuhudia Rais wa nchi hiyo, Bashar al-Assad akiikimbia nchi hiyo baada ya waasi wa Syria kuchukua udhibiti wa mji mkuu wa nchi hiyo. Kumekuwa na sherehe mitaani katika mji wa Damascus, mji mkuu wa Syria, kufuatia habari kwamba Rais Assad ameondoka nchini humo akikimbilia Moscow, Russia akipewa…

Read More

Mkama Sharp: Polisi aliyewanyoosha vibaka Dar

Mkama Sharp ni jina linaloleta kumbukumbu ya askari polisi maarufu jijini Dar es Salaam miaka ya 1980 hadi 1990. Umaarufu wake haukuwa kwenye utekelezaji wa majukumu yake pekee, bali hata kwa mwonekano wake, ubunifu na uchapakazi wake. Ni askari polisi aliyeipenda kazi yake na nadhifu wa mavazi, huku akitembea na vitendea kazi muhimu. Ungekutana naye, …

Read More