Jumuiya ya Pasifiki Yaita Udharura wa Kupotea kwa Hali ya Hewa na Uharibifu wa Fedha kwa Mataifa ya Visiwa vya Frontline – Masuala ya Ulimwenguni

Nyumba iliyoharibiwa kutokana na mmomonyoko wa ardhi uliosababishwa na kupanda kwa kina cha bahari huko Tuvalu. Credit Hettie Sem/Pacific Community na Catherine Wilson (Sydney) Jumanne, Desemba 10, 2024 Inter Press Service SYDNEY, Des 10 (IPS) – Kuendeleza maendeleo ya Mfuko mpya wa Hasara na Uharibifu wa Hali ya Hewa ulikuwa wito muhimu wa mataifa ya…

Read More

Fadlu atangaza mkakati mpya Simba

KOCHA wa Simba, Fadlu Davids ameweka wazi hesabu zake kimbinu katika mchezo ujao wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya CS Sfaxien ya Tunisia kwenye Uwanja wa Benjamini Mkapa utakuwa tofauti na ilivyokuwa kule Algeria ambako walipoteza kwa mabao 2-1 dhidi ya CS Constantine. Kwa nini? Msauzi huyo, alisema anahitaji kuishambulia zaidi CS Sfaxien huku…

Read More

Mastaa Yanga wamtibua Ramovic, atoa msimamo mkali dirisha dogo

TATHMINI ya mitaani pamoja na mitandaoni inaonyesha mashabiki wa Yanga wamekosa imani kutokana na matokeo  ya siku za hivi karibuni kwenye michuano mbalimbali. Lakini kocha wao, Sead Ramovic ameibuka na mkakati ambao anaamini utasaidia kurejesha kasi ya uwajibikaji kikosini hapo hususani kwenye mechi za kimataifa ambako piga ua lazima Yanga ipate pointi tatu katika mechi…

Read More