Adaiwa kusombwa na maji alipokuwa akivuka mto
Shinyanga. Mkazi wa Mtaa Dome Kata ya Ndembezi Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga mkoani humo, Leah George (40) anadaiwa kusombwa na maji alipokuwa akivuka mto baada ya mvua kunyesha. Tukio hilo limetokea jana Desemba 09, 2024 muda wa saa 12 jioni katika daraja la mto Mumbu baada ya mvua kubwa na kusababisha maji kujaa. Akithibitisha…