Songwe waonywa kumaliza kindugu kesi za ukatili
Ileje. Wazazi na walezi mkoani Songwe wameonywa kumalizana kindugu juu ya Kesi za ukatili wa kijinsia kwa watoto, ili wahusika wanaotekeleza vitendo hivyo wachukuliwe hatua za kali za kisheria. Rai hiyo imetolewa na Kaimu Mkuu wa kitengo cha dawati la jinsia kutoka Jeshi la Polisi Mkoa wa Songwe, Mkaguzi Msaidizi wa Polisi, Eletisia Mtweve, katika…