MATUMIZI YA SIMU KAZINI YATAJWA KUATHIRI UFANISI WA WAFANYAKAZI
Matumizi yasiyo sahihi ya simu mahali pa kazi yameelezwa kuwa changamoto kubwa inayoathiri ufanisi wa wafanyakazi. Mwenyekiti wa Chama cha Wafanyakazi wa Serikali na Afya (TUGHE) Taifa, Joel Kaminyonge, amesema matumizi haya yanapunguza uwajibikaji na kuzorotesha utendaji wa taasisi. Akizungumza leo, Desemba 10, 2024, wakati wa ufunguzi wa Baraza la Wafanyakazi wa Idara ya Uhamiaji…