Kesi ya Netanyahu inahusu mashtaka ya aina gani? – DW – 10.12.2024
Kimsingi kiongozi huyo anakabiliwa na mashtaka gani? Netanyahu alishtakiwa mwaka 2019 kwa tuhuma za hongo, ulaghai na kukiuka uaminifu, yote ambayo Netanyahu anayakanusha. Kesi yake ilianza 2020 na inahusisha kesi tatu za jinai. Anakanusha mashtaka na amekana kuwa na hatia. Katika kesi namba 4000, Waendesha mashtaka wanadai Netanyahu alitoa upendeleo wa kandarasi yenye thamani ya…