SERIKALI KUENDELEA KUDHIBITI WANAOTOA MIKOPO KAUSHA DAMU

Na Farida Ramadhani na Chedaiwe Msuya, WF – Dar es Salaam. Serikali imesema itaendelea kuchukua hatua kali kwa taasisi zote zininazotoa huduma za fedha kinyume cha sheria kwa kutoa mikopo umiza (kausha damu) na kuwakandamiza wananchi. Onyo hilo limetolewa jijini Dar es Salaam na Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (Mb), wakati…

Read More

Yas Tanzania yashinda tuzo – Mtanzania

Na Mwandishi Wetu Kampuni ya Mawasiliano ya @yastanzania_ imeshinda Tuzo ya kuwa kampuni namba moja ya Mawasiliano yenye mtandao wa Internet wenye kasi zaidi “OOKLA SPEEDTEST AWARD FOR THE FASTEST MOBILE NETWORK IN TANZANIA” ambapo kampuni ya YAS imeibuka mshindi wa kwanza kwa mwaka 2024 nakuziacha mbali kampuni zingine zinazotoa huduma ya mawasiliano nchini Akitangaza…

Read More

Kesi ya Padri Mwibule yapigwa kalenda

Musoma. Kesi inayomkabili aliyekuwa Padri wa Kanisa Katoliki jimbo la Bunda mkoani Mara, Carol Mwibule na Mhasibu wa Parokia ya Bunda, Gerold Mgendigendi imeahirishwa hadi Desemba 23 mwaka huu itakapotajwa tena mahakamani hapo. Padri huyo ambaye pia alikuwa ni Paroko wa Parokia ya Bunda na mwenzake wanakabiliwa na mashitaka 178 ikiwemo ya uhujumu uchumi. Akiahirisha…

Read More

Israel yaripotiwa kuishambulia Syria mara 300 – DW – 10.12.2024

Assad aliikimbia Syria huku muungano wa waasi unaoongozwa na wenye itikadi kali Jumapili iliyopitza ukiingia katika mji mkuu Damascus, na kuhitimisha miongo mitano ya utawala wa kikatili wa ukoo wa kiongozi huyo kwa kipindi chote. Abu Mohammed al-Jolani, kiongozi wa kundi la wenye itikadi kali aliyeongoza mashambulizi yaliyomlazimisha Assad kulikimbia taifa hilo, ameanza mazungumzo juu…

Read More

MIRERANI WATEMBEA KUOMBEA AMANI KWENYE MIAKA 63 YA UHURU

Na Mwandishi wetu, Mirerani WAUMINI wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Usharika wa Mirerani, Jimbo la Arusha Mashariki, Dayosisi ya Kaskazini kati, Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, wametembea na kuombea amani ya nchi katika maadhimisho ya miaka 63 ya uhuru wa nchi. Mchungaji wa KKKT, usharika wa Mirerani, Loishiye Godson Laizer, ameongoza matembezi hayo…

Read More

Vodacom yapewa tuzo kwa Kujitolea katika Sekta ya TEHAMA.

Mkuu wa Idara ya Mkakati wa TEHAMA na Uhandisi wa Programu wa Vodacom Tanzania PLC Cleopatra Mukangara (kushoto), akipokea tuzo kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Chama cha Ukaguzi na Udhibiti wa Mifumo ya Taarifa (ISACA) Abdulrahman Hussein (kulia) kwa Kujitolea na Kuchangia Ukuaji wa ISACA Tanzania Chapter (Usalama wa Mtandao, Ukaguzi na Hatari) mwishoni mwa…

Read More

Uzinduzi Samia Supa Cup Msasani usipime, Diwani Neghest amwaga vifaa kwa timu za soka, rede, drafti, bao

Na Mwandishi wetu  Mashindano ya Samia Supa Cup ya Kata ya Msasani yameanza kwa vishindo huku huku Diwani wa Kata hiyo, Luca Neghest akimwaga vifaa vya michezo kwa timu mbalimbali. Mashindano hayo yalizinduliwa na mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Manispaa ya Kinondoni, Shaweji Abdalla Mkumbula kwa kushirikiana na viongozi wengine mbalimbali pamoja na Katibu Mwenezi…

Read More

Bashiri na Meridianbet mechi za UEFA leo

Hatimaye siku ya wewe kuondoka na pesa imefika kwani mechi za Ligi ya mabingwa Ulaya leo hii zinaendelea ambapo ODDS KUBWA na machaguo zaidi ya 1000 yapo hapa. Mapema kabisa leo hii saa 2:45 usiku, Liverpool atakuwa ugenini dhidi ya Girona ambao kwenye mechi zake 5 alizocheza ameshinda mechi moja pekee tuu. Jogoo yeye yupo…

Read More