Netanyahu asimamishwa kizimbani katika kesi ya ufisadi – DW – 10.12.2024
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amesimamishwa kizimbani kuhusiana na kesi ya muda mrefu ya madai ya ufisadi, lakini pia makosa mengine yanayomkabili yanahusu kuanzisha tamasha la wiki nzima jambo ambalo linachukuliwa kama hatua ya kuchochea hisia za watu kwa lengo la kufunika masaibu ya kisheria yanayomkabili. Soma Pia: Netanyahu akosoa uamuzi wa ICJ ni ‘uamuzi…