Pacha wa Kagoma atua Yanga
KUNA kitu kinaendelea chini kwa chini pale Yanga na lolote linaweza kutokea kwenye dirisha dogo la usajili linalofunguliwa Desemba 15. Yanga imepania kufanya mabadiliko kadhaa kwenye safu yake ya uchezaji na mmoja kati ya watakaoingia kuwa mbadala wa Khalid Aucho huenda akawa sapraizi kwa wengi. Yanga inaendelea na mazungumzo na Singida Black Stars kuangalia uwezekano…