Njombe waadhimisha miaka 63 ya Uhuru wa Tanganyika kwa kupanda miti
Katibu tawala mkoa wa Njombe Judica Omari, amewataka wananchi mkoani humo kutoa ushirikiano kwa viongozi wa serikali za mitaa na vijiji ambao wameanza kazi baada ya kukamilika kwa zoezi la uchaguzi wa serikali za mitaa lililofanyika Novemba 27 mwaka huu. Judica ametoa wito huo wakati wa sherehe za maadhimisho wa miaka 63 ya Uhuru wa…