KIWANJA CHA NDEGE MAFIA KUFANYIWA MABORESHO ILI KUVUTIA WAWEKEZAJI NA WATALII
Na Mwamvua Mwinyi, MafiaDesemba 8, 2024 Kiwanja cha ndege wilayani Mafia, mkoani Pwani, kinatarajia kufanyiwa maboresho kwa kujengwa jengo jipya la abiria na kusimikwa taa kwenye njia za kutua na kuruka ndege. Maboresho haya yanalenga kurahisisha usafiri wa anga, hususan nyakati za usiku, na hivyo kuchochea ongezeko la watalii na wawekezaji katika sekta ya utalii…