
Hasnath: Kiarabu noma, ila tunaelewana
WINGA wa FC Masar inayoshiriki Ligi ya Wanawake nchini Misri, Hasnath Ubamba amesema lugha ya Kiarabu ambayo ndio inatumika nchini humo ikiwamo mazoezini ni ngumu lakini anapata msaada kutoka kwa nyota wenzake wa Afrika Mashariki. Nyota huyo ni msimu wake wa kwanza kucheza ligi hiyo akitokea Fountain Gate Princess ya Tanzania kwa mkopo wa mwaka…