Dk. Mwigulu aongoza mamia kuaga mwili wa mtumishi wa TRA

  WAZIRI wa Fedha Dk Mwigulu Nchemba amewataka wananchi kuacha kushabikia vitendo vya uharifu na kuepuka kujichukulia Sheria mkononi kwani sio jambo nzuri. Anaripoti Mwandish Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Dk Nchemba ametoa kauli hiyo Jijini Dar es salaam mapema leo Desemba 8, 2025 wakati wa kuaga mwili wa aliyekuwa Mtumishi wa Mamlaka ya…

Read More

Miaka 63 ya uhuru katikati ya utekaji, raia kupotea, kuuawa

Tanganyika imepata uhuru kamili. Mtoto mwema wa Taifa, Julius Kambarage Nyerere na wenzake wamewezesha nchi kuwa huru. Ni Desemba 9, 1961. Leo, Desemba 9, 2024, imetimia miaka 63 tangu tukio hilo. “Heri kushinda njaa kwenye uhuru, kuliko chakula cha kusaza utumwani.” Nyimbo ziliimbwa. Maneno ya tambo za kila aina, yaliwatoka Watanganyika. Yote ilikuwa furaha na…

Read More

AFRIKA TUKUZE UCHUMI WA VYAMA VYAMA VYETU

Mgeni rasmi Naibu Katibu Mkuu Chama Cha Mapinduzi Zanzibar Dkt. Mohammed Said Mohammed (katikati) akikabidhi cheti kwa mshiriki wa mafunzo hayo wakwanza kulia ni Mkuu wa Shule ya Uongozi ya Mwalimu Julius Nyerere Prof Marcellina Chijoriga. Na Khadija Kalili, Michuzi Tv NAIBU Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar Dkt. Mohammed Said Mohammed amesema…

Read More

Y.H Malundo wenzake wanne wala nondo Marekani

  MKAGUZI maarufu wa mahesabu hapa nchini, Yona Hezekiah Malundo kupitia kampuni yake ya Y.H Malundo na wenzake wanne wametunukiwa udaktari wa heshima kutoka Chuo Kikuu cha Read Impact kilichopo Colorado nchini Marekani. Anaripoti Makuburi Ally, Dar es Salaam … (endelea). Tukio hilo la heshima lilifanyika mwishoni mwa wiki kwenye ukumbi wa Tanganyika 2 ulioko…

Read More

Hofu ya kipindupindu yaibuka Dodoma, Mbeya

Dodoma/ Mbeya. Hofu ya mlipuko wa ugonjwa wa kipindupindu, imeibuka katika mikoa ya Dodoma na Mbeya, huku mamlaka za afya zikiwataka wananchi kuchukua tahadhari kwa kufuata taratibu za usafi wa mazingira na chakula.  Waganga wakuu wa mikoa hiyo wamewatoa hofu wananchi juu ya viashiria vya ugonjwa huo,  baada ya baadhi ya watu kuripotiwa kuharisha, hali…

Read More

Othman: Vijana tambueni mambo mnayopigania

Unguja. Mwenyekiti wa chama cha ACT Wazalendo Taifa, Othman Masoud amewataka vijana wa chama hicho kutambua mambo wanayopambania na kuyasimamia bila kusahau kurejesha mamlaka kamili mikononi mwa Wazanzibari. Othman ametoa kauli hiyo leo Jumatatu, Desemba 9, 2024 wakati akifungua kongamano la vijana Mkoa wa Kati Unguja. “Mnarithi kijiti cha kuipambania nchi na kuendeleza hilo, ni…

Read More

SMZ yajipanga uzalishaji mpunga, mbogamboga

Unguja. Wakati Serikali ikiongeza eneo la kilimo cha umwagiliaji kutoka hekta 875 mwaka 2019 hadi kufikia hekta 2,300 mwaka 2024, imewataka wananchi kuachana na kilimo cha mazoea ili kufikia malengo ya kujitosheleza kwa ajili ya chakula na biashara. Akizungumza wakati kuzindua maboresho ya miundombinu ya umwagiliaji, Desemba 8, 2024 kwenye mabonde manne yaliyofanyiwa uboreshaji, Waziri…

Read More