DC MPOGOLO AONGOZA WAKAZI ILALA KUFANYA USAFI NA UPANDAJI MITI TISA DESEMBA
Mkuu wa wilaya ya Ilala Edward Mpogolo ameungana na Watanzania bara katika kuadhimisha miaka 63 ya uhuru kwa kufanya usafi wa mazingira, na upandaji miti pembezoni mwa fukwe ya habari ya Hindi. Zoezi la usafi lililoanzia katika soko la Ilala na buguruni limeshirikisha watendaji, wananchi na viongozi wa taasisi mbalimbali Mpogolo ameeleza dhamira ya…