UJENZI WA MAJENGO MAPYA IMS ZANZIBAR WAFIKIA ASILIMIA 50
NA EMMANUEL MBATILO, ZANZIBAR UJENZI wa majengo ya mabweni na jengo la utawala katika Taasisi ya Sayansi za Baharini (IMS) ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), iliyopo Buyu visiwani Zanzibar umefikia asilimia 50 kukamilika. Ukiwa unatarajiwa kukamilika ifikapo mwezi Agosti 2025 na kuanza kutumika, ujenzi huo ni sehemu ya utekelezaji wa Mradi wa…