HASSAN NA HUSSEIN WAREJEA NCHINI BAADA YA KUFANYIWA UPASUAJI WA KUWATENGANISHA NCHINI SAUDI ARABIA ULIODUMU KWA SAA 16
Watoto Hassan na Hussein Amri Jummane (3) waliozaliwa wakiwa wameungana kwenye nyonga, kifua na wana miguu mitatu sasa wamereja nchini baada ya kufanyiwa upasuaji wa kutenganishwa huko nchini Saudi Arabia. Akizungumza na vyombo vya habari kwa niaba ya Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) Dkt. Rachel Mhaville amesema watoto hao walipokelewa hospitalini…