Mfahamu aliyeongoza mapinduzi ya Rais Assad wa Syria
Dar es Salaam. Baada ya utawala wa familia ya aliyekuwa Rais wa Syria, Bashar al-Assad uliodumu kwa zaidi ya miaka 53 kuangushwa, yupo mtu aliyekuwa nyuma ya pazia kufanikisha operesheni hiyo. Mtu huyo ambaye ni kiongozi wa kijeshi anajulikana kama Abu Mohammed Al-Jolani, ndiye aliyeongoza operesheni ya kumng’oa Rais Assad ambaye kwa upande wake ametawala…