Saa 6 za kesi ya kina Shilton, yapangwa kusikilizwa Feb 10
HUWEZI kuamini, lakini ukweli ni kwamba serikali imetumia karibu saa sita kusoma maelezo ya mashahidi na vielelezo (commital proceedings) katika kesi ya kusafirisha dawa za kulevya aina ya heroin zenye uzito kilo 34.89 inayomkabili mmiliki wa kituo cha Cambiasso Sport Academy, Kambi Seif na wenzake watano. Saa hizo zimetumika katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu,…