Mwigulu aongoza kumuaga ofisa TRA
Dar es Salaam. Mwili wa aliyekuwa mtumishi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Aman Simbayao aliyefariki dunia kwa kushambuliwa na wananchi wenye hasira eneo la Tegeta kwa Ndevu, jijini Dar es Salaam, umeagwa leo Jumapili Desemba 8, 2024 jijini Dar es Salaam. Shughuli ya kuaga mwili huo imefanyika viwanja vya michezo vya TRA Kurasini kuanzia…