Mitazamo tofauti ya wadau panga-pangua ya Rais Samia
Dar es Salaam. Rais Samia Suluhu Hassan ameendelea kupanga safu ya wasaidizi wake kwenye nafasi mbalimbali ikiwemo kuligusa kwa mara nyingine baraza lake la mawaziri. Katika mabadiliko hayo, Rais Samia ameirejesha wizara ya zamani ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo. Awali, majukumu ya sekta ya habari yaliunganishwa kwenye Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari….