
Radi yaua watano wa familia moja, yajeruhi sita Chunya
Mbeya. Watu watano kutoka jamii ya wafugaji wamepoteza maisha na wengine sita kujeruhiwa baada ya kupigwa na radi kutokana na mvua kubwa iliyonyesha usiku. Tukio hilo limetokea katika Kijiji cha Isangawane, Kata ya Matwiga, Wilaya ya Chunya, Mkoa wa Mbeya na inaelezwa kuwa hili ni tukio la pili kwa mwezi huu ambapo radi iliyotokea awali…