Bajana, Zayd wamkosha Taoussi | Mwanaspoti
KOCHA wa Azam FC, Rachid Taoussi, ameonyesha kuridhishwa na viwango vya viungo wake, Sospeter Bajana na Yahya Zayd, baada ya kuongoza timu hiyo kuibuka na ushindi mkubwa wa mabao 4-0 dhidi ya Iringa SC kwenye mchezo wa raundi ya tatu ya Kombe la Shirikisho (FA). Ushindi huu unakuwa ni wa nane mfululizo kwa Azam FC…