Ramovic aigomea Yanga usajili dirisha dogo

KIKOSI cha Yanga jana usiku kilikuwa uwanjani kumenyana na MC Alger ya Algeria katika mechi ya pili ya Kundi A ya Ligi ya Mabingwa Afrika, huku nyuma kocha mkuu wa timu hiyo akifanya mambo mawili kabla ya kikosi hakijarejea kujiweka tayari kwa pambano lijalo la ugenini pia dhidi ya TP Mazembe ya DR Congo. Yanga…

Read More

Mlugu, Simbu kuchuana uenyekiti Kawata, Saliboko ajiengua

Nyota wa Riadha, Alphonce Simbu na mwanajudo bingwa wa Taifa, Andrew Thomas Mlugu ni miongoni mwa wagombea watatu wanaochuana kuwania uenyekiti wa Kamisheni ya Wachezaji Tanzania (Kawata). Mwingine ni Omar Bakari Omar anayewania nafasi hiyo kwenye uchaguzi unaofanyika leo Desemba 8, 2024 mjini Dodoma ukisimamiwa na Kamati ya Olimpiki Tanzania (TOC). Muogeleaji, Collins Saliboko aliyekuwa…

Read More

Mvua yaua watano Rukwa, yumo mama na mwanawe

Rukwa. Watu watano wamefariki dunia kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha mkoani Rukwa. Kamanda wa Polisi mkoani Rukwa, Sherdack Masija, ameyasema hayo  Jumamosi Novemba 7,2024 wakati akizungumzia tukio hilo. Kamanda Masija amesema watu hao wamefariki dunia, kwa nyakati tofauti katika wilaya za Sumbawanga,  Kalambo na Nkasi. Amewataja marehemu  kuwa ni Maiko Simuni (70), mkazi wa kijiji…

Read More

Mambo haya yanaharibu ufanisi wako kazini

Tofauti kati ya maeneo ya biashara, ujasiriamali, kazi za kuajiriwa, au shughuli nyinginezo kama matumizi ya barabara na maisha ya familia, mara nyingi hujikita katika maadili yanayotawala maeneo hayo. Ni takriban asilimia 5 hadi 10 tu ya watu wanaofuata maadili ya kazi kikamilifu, huku wengi wakiendeshwa na mazoea na hali walizozikuta, bila kujiuliza kama mifumo…

Read More

Zingatia mambo haya kipindi cha likizo kwa mwanao

Dar es Salaam. Kalenda ya mwaka wa masomo kwa 2024 imehitimishwa Desemba 6. Kuhitimishwa kwa kalenda ni ishara ya kuanza kwa msimu wa likizo kwa wanafunzi wa shule za msingi na sekondari nchini itakayodumu kwa takribani siku 30.  Likizo ni wakati wa kupumzika, kufurahi, na kujifunza mambo mapya, lakini pia ni wakati mzuri wa kuboresha…

Read More