Matola kusimama kizimbani kesi ya Cambiaso na wenzake
Mashahidi 30 akiwemo, Kocha Seleman Matola (45) wanatarajiwa kutoa ushahidi katika kesi ya kusafirisha dawa za kulevya aina ya heroini zenye uzito kilo 34.89 inayomkabili mmiliki wa kituo cha Cambiasso Sport Academy, Kambi Seif na wenzake watano. Hayo yamebainishwa na Jamhuri baada ya kuwasomea washtakiwa hao orodha ya mashahidi na vielelezo, na kisha kesi hiyo…